iqna

IQNA

Said Abdul Latif
Uislamu unaenea
TEHRAN (IQNA) – Padre Hilarion Heagy, padre mashuhuri wa Kanisa Katoliki la Mashariki lenye makazi yake Marekani amesilimu, akielezea uamuzi wake kama "kurejea katika Uislamu" na kwamba hatua yake ilikuwa "sawa na kurudi nyumbani."
Habari ID: 3476641    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28